Job 41:32
Anapopita nyuma yake huacha mkondo unaometameta; 2 mtu angedhani vilindi vilikuwa na mvi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He maketh a path to shine after him; one would think the deep to be hoary.
In Context
31Huvisukasuka vilindi kama sufuria kubwa ichemkayo, 2 na kukoroga bahari kama chungu cha marhamu. 1
33Hakuna chochote duniani kinacholingana naye: 2 yeye ni kiumbe kisicho na woga. 1
Cross References
Genesis 1:2Wakati huu dunia ilikuwa haina umbo, tena ilikuwa tupu. Giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji, naye Roho wa Mungu alikuwa ametulia juu ya maji.
Genesis 15:15Wewe, hata hivyo utakwenda kwa baba zako kwa amani na kuzikwa katika uzee mwema.
Genesis 42:38Lakini Yakobo akasema, “Mwanangu hatashuka huko pamoja nanyi; ndugu yake amekufa naye ndiye peke yake aliyebaki. Ikiwa atapatwa na madhara katika safari mnayoiendea, mtashusha kichwa changu chenye mvi kaburini kwa masikitiko.”
Job 38:16“Je, umepata kufika kwenye chemchemi za bahari? 2 Au kutembea mahali pa ndani pa vilindi? 1
Proverbs 16:31Mvi ni taji ya utukufu; 2 hupatikana kwa maisha ya uadilifu. 1