Proverbs 8:24
Wakati hazijakuwepo bahari, nilikwishazaliwa, 2 wakati hazijakuwepo chemchemi zilizojaa maji; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When there were no depths, I was brought forth; when there were no fountains abounding with water.
In Context
23niliteuliwa tangu milele, 2 tangu mwanzoni, kabla ya dunia kuumbwa. 1
25kabla milima haijawekwa mahali pake, 2 kabla vilima havijakuwepo, nilikwishazaliwa, 1
Cross References
Genesis 1:2Wakati huu dunia ilikuwa haina umbo, tena ilikuwa tupu. Giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji, naye Roho wa Mungu alikuwa ametulia juu ya maji.
Proverbs 3:20kwa maarifa yake vilindi viligawanywa, 2 nayo mawingu yanadondosha umande. 1
John 3:16“Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
Hebrews 1:5Kwa maana ni malaika yupi ambaye wakati wowote Mungu alipata kumwambia, 1 “Wewe ni Mwanangu; 2 leo mimi nimekuzaa?” Au tena, 1 “Mimi nitakuwa Baba yake, 2 naye atakuwa Mwanangu?”