The Bible Software
bible.softwareJobJob 38 › Job 38:2

Job 38:2

“Nani huyu atiaye mashauri yangu giza 2 kwa maneno yasiyo na maarifa? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Who is this that darkeneth counsel by words without knowledge?

In Context

1Kisha Bwana akamjibu Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli. Akasema: 1

3Jikaze kama mwanaume; 2 nitakuuliza swali, 2 nawe unijibu. 1

Read all of Job 38

Cross References

Job 12:3Lakini mimi ninao ufahamu kama ninyi; 2 mimi si duni kwenu. 2 Ni nani asiyejua mambo haya yote? 1

Job 24:25“Kama hili sivyo, ni nani awezaye kunithibitisha kuwa mwongo, 2 na kuyafanya maneno yangu kuwa si kitu?”

Job 27:11“Nitawafundisha juu ya uweza wa Mungu; 2 njia za Mwenyezi sitazificha. 1

Job 35:16Hivyo Ayubu hufumbua kinywa chake kwa maneno yasiyo na maana; 2 anaongea maneno mengi bila maarifa.”

1 Timothy 1:7wanataka kuwa walimu wa sheria, lakini hawajui mambo yale wanayosema wala hayo wanayoyatumainia kwa uthabiti.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 38:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 38:1Job 38Job 38:3 →