Ayubu 38:20
Je, unaweza kuvirudisha kwenye makao yake? 2 Unajua njia za kufika maskani mwake? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19“Njia ya kufika kwenye makao ya nuru ni ipi? 2 Nako maskani mwa giza ni wapi? 1
21Hakika unajua, kwa kuwa ulikuwa umeshazaliwa! 2 Kwani umeishi miaka mingi! 1
Cross References
Genesis 10:19na mipaka ya Kanaani ilienea kutoka Sidoni kuelekea Gerari hadi Gaza, kisha kuelekea Sodoma, Gomora, Adma na Seboimu, hadi kufikia Lasha.
Job 26:10Amechora mstari wa upeo juu ya uso wa maji, 2 ameweka mpaka wa nuru na giza. 1