Ayubu 38:25
Ni nani aliyepasua mifereji kwa ajili ya maji mengi ya mvua yaendayo kasi 2 na njia ya umeme wa radi, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Who hath divided a watercourse for the overflowing of waters, or a way for the lightning of thunder;
In Context
26ili kusababisha mvua kunyeshea mahali pasipokaliwa na mtu, 2 jangwa lisilo na yeyote ndani yake, 1
Cross References
Job 28:26alipofanya maagizo kwa ajili ya mvua 2 na njia kwa ajili ya umeme wa radi, 1
Job 37:3Huuachilia umeme wake wa radi chini ya mbingu yote 2 na kuupeleka hata miisho ya dunia. 1
Psalms 135:7Hufanya mawingu kupanda kutoka miisho ya dunia; 2 hupeleka umeme wa radi pamoja na mvua 2 na huleta upepo kutoka ghala zake. 1