Ayubu 37:3
Huuachilia umeme wake wa radi chini ya mbingu yote 2 na kuupeleka hata miisho ya dunia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He directeth it under the whole heaven, and his lightning unto the ends of the earth.
In Context
2Sikiliza! Sikiliza ngurumo ya sauti yake, 2 sauti ya ngurumo itokayo kinywani mwake. 1
Cross References
Job 38:35Je, wewe hutuma umeme wa radi kwenye njia zake? 2 Je, hutoa taarifa kwako kukuambia, ‘Sisi tuko hapa’? 1
Psalms 97:4Umeme wake wa radi humulika dunia, 2 nchi huona na kutetemeka. 1
Matthew 24:27Kwa maana kama vile umeme utokeavyo mashariki na kuonekana hata magharibi, ndivyo itakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.