Ayubu 38:26
ili kusababisha mvua kunyeshea mahali pasipokaliwa na mtu, 2 jangwa lisilo na yeyote ndani yake, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
To cause it to rain on the earth, where no man is; on the wilderness, wherein there is no man;
In Context
27ili kuitosheleza nchi ya ukiwa na jangwa, 2 na majani yaanze kumea ndani yake? 1
Cross References
Psalms 104:10Huzifanya chemchemi zimwage maji mabondeni, 2 hutiririka kati ya milima. 1
Psalms 147:8Yeye huzifunika anga kwa mawingu, 2 huinyeshea ardhi mvua, 2 na kuzifanya nyasi kuota juu ya vilima. 1
Isaiah 41:18Nitaifanya mito itiririke juu ya vilima vilivyo kame, 2 nazo chemchemi ndani ya mabonde. 1 Nitaligeuza jangwa liwe mabwawa ya maji, 2 nayo ardhi iliyokauka kuwa chemchemi za maji. 1
Jeremiah 10:13Atoapo sauti yake, maji yaliyo katika mbingu hunguruma; 2 huyafanya mawingu yainuke kutoka miisho ya dunia. 1 Hupeleka umeme wa radi pamoja na mvua, 2 naye huuleta upepo kutoka ghala zake. 1
Hebrews 6:7Ardhi ile ipokeayo mvua inyeshayo juu yake mara kwa mara hutoa mazao yanayowanufaisha wale ambao kwa ajili yao yalimwa, nayo nchi hiyo hupokea baraka kutoka kwa Mungu.