Ayubu 38:29
Barafu inatoka tumbo la nani? 2 Ni nani azaaye ukungu kutoka mbinguni, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Out of whose womb came the ice? and the hoary frost of heaven, who hath gendered it?
In Context
28Je, mvua ina baba? 2 Ni nani baba azaaye matone ya umande? 1
30wakati maji yawapo magumu kama jiwe, 2 wakati uso wa vilindi vya maji unapoganda? 1
Cross References
Job 37:10Pumzi ya Mungu hutoa barafu, 2 eneo kubwa la maji huganda. 1
Psalms 147:16Anatandaza theluji kama sufu 2 na kutawanya umande kama majivu. 1