Ayubu 38:30
wakati maji yawapo magumu kama jiwe, 2 wakati uso wa vilindi vya maji unapoganda? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The waters are hid as with a stone, and the face of the deep is frozen.
In Context
29Barafu inatoka tumbo la nani? 2 Ni nani azaaye ukungu kutoka mbinguni, 1
31“Je, waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia? 2 Waweza kulegeza kamba za Orioni? 1
Cross References
Job 37:10Pumzi ya Mungu hutoa barafu, 2 eneo kubwa la maji huganda. 1