Mwanzo 9:15
nitakumbuka Agano langu kati yangu na ninyi na viumbe vyote vilivyo hai vya kila aina. Kamwe maji hayatakuwa tena gharika ya kuangamiza uhai wote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Wakati wowote ninapotanda mawingu juu ya dunia na upinde wa mvua ukijitokeza mawinguni,
Cross References
Genesis 9:10pia na kila kiumbe hai kilichokuwa pamoja nanyi: Ndege, wanyama wa kufugwa na wanyama wote wa porini, wale wote waliotoka katika safina pamoja nanyi, kila kiumbe hai duniani.
Leviticus 26:42nami nitakumbuka agano langu na Yakobo, na agano langu na Isaki, na agano langu na Abrahamu, nami nitaikumbuka nchi.
1 Kings 8:23na kusema: “Ee Bwana, Mungu wa Israeli, hakuna Mungu kama wewe juu mbinguni wala chini duniani, wewe unayetunza Agano lako la upendo na watumishi wanaodumu katika njia yako kwa moyo wote.
Psalms 106:45kwa ajili yao akakumbuka agano lake, 2 na kutokana na upendo wake mkuu akapooza hasira yake. 1
Jeremiah 14:21Kwa ajili ya jina lako usituchukie kabisa; 2 usikidharau kiti chako cha enzi kilichotukuka. 1 Kumbuka agano lako nasi 2 na usilivunje. 1
Luke 1:72ili kuonyesha rehema kwa baba zetu 2 na kukumbuka Agano lake takatifu, 1