The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 38 › Ayubu 38:7

Ayubu 38:7

wakati nyota za asubuhi zilipoimba pamoja, 2 na malaika wote walipokuwa wakipiga kelele kwa furaha? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When the morning stars sang together, and all the sons of God shouted for joy?

In Context

6Je, misingi yake iliwekwa juu ya nini, 2 au ni nani aliyeweka jiwe la pembeni, 1

8“Ni nani aliyeifungia bahari milango 2 ilipopasuka kutoka tumbo, 1

Read all of Ayubu 38

Cross References

Job 1:6Siku moja wana wa Mungu + 1:6 Wana wa Mungu hapa ina maana malaika au viumbe vya mbinguni. walikwenda kujionyesha mbele za Bwana. Shetani + 1:6 Shetani hapa ina maana ya mshtaki wa watakatifu. naye akaja pamoja nao.

Psalms 104:4Huzifanya pepo kuwa wajumbe + 104:4 Au: malaika. wake, 2 miali ya moto watumishi wake. 1

Revelation 2:28Nami nitampa pia ile nyota ya asubuhi.

Revelation 22:16“Mimi, Yesu, nimemtuma malaika wangu kushuhudia mambo haya kwa ajili ya makanisa. Mimi ndimi Shina na Mzao wa Daudi, ile Nyota ya Asubuhi ingʼaayo.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 38:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 38:6Ayubu 38Ayubu 38:8 →