Ayubu 38:9
nilipoyafanya mawingu kuwa vazi lake, 2 na kuyafungia katika giza nene, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When I made the cloud the garment thereof, and thick darkness a swaddlingband for it,
In Context
8“Ni nani aliyeifungia bahari milango 2 ilipopasuka kutoka tumbo, 1
10nilipoamuru mipaka yake, 2 na kuiweka milango yake na makomeo mahali pake, 1
Cross References
Genesis 1:2Wakati huu dunia ilikuwa haina umbo, tena ilikuwa tupu. Giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji, naye Roho wa Mungu alikuwa ametulia juu ya maji.