The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 38 › Ayubu 38:10

Ayubu 38:10

nilipoamuru mipaka yake, 2 na kuiweka milango yake na makomeo mahali pake, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And brake up for it my decreed place, and set bars and doors,

In Context

9nilipoyafanya mawingu kuwa vazi lake, 2 na kuyafungia katika giza nene, 1

11niliposema, ‘Unaweza kufika mpaka hapa wala si zaidi; 2 hapa ndipo mawimbi yako yenye kiburi yatakapokomea’? 1

Read all of Ayubu 38

Cross References

Genesis 9:15nitakumbuka Agano langu kati yangu na ninyi na viumbe vyote vilivyo hai vya kila aina. Kamwe maji hayatakuwa tena gharika ya kuangamiza uhai wote.

Job 41:14Nani athubutuye kuufungua mlango wa kinywa chake, 2 kilichozungukwa na meno yake ya kutisha pande zote? 1

Psalms 104:9Uliyawekea mpaka ambao hayawezi kuuvuka, 2 kamwe hayataifunika dunia tena. 1

Jeremiah 5:22Je, haiwapasi kuniogopa mimi?” asema Bwana. 2 “Je, haiwapasi kutetemeka mbele zangu? 1 Niliufanya mchanga kuwa mpaka wa bahari, 2 kizuizi cha milele ambacho haiwezi kupita. 1 Mawimbi yanaweza kuumuka, lakini hayawezi kuupita; 2 yanaweza kunguruma, lakini hayawezi kuuvuka. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 38:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 38:9Ayubu 38Ayubu 38:11 →