Job 39:11
Je, utamtumainia kwa ajili ya nguvu zake nyingi? 2 Utamwachia yeye kazi zako nzito? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wilt thou trust him, because his strength is great? or wilt thou leave thy labour to him?
In Context
10Je, waweza kumfungia kwenye matuta kwa kamba? 2 Je, atalima mabonde nyuma yako? 1
Cross References
Genesis 1:28Mungu akawabariki na akawaambia, “Zaeni na mkaongezeke, mkaijaze tena dunia na kuitiisha. Mkatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kiendacho juu ya ardhi.”
Genesis 42:26wakapakiza nafaka juu ya punda zao, wakaondoka.
Psalms 20:7Wengine wanatumaini magari ya vita, na wengine farasi, 2 bali sisi tutalitumainia jina la Bwana, Mungu wetu. 1
Psalms 144:14maksai wetu watakokota 2 mizigo mizito. 1 Hakutakuwa na kubomoka kuta, 2 hakuna kuchukuliwa mateka, 1 wala kilio cha taabu 2 katika barabara zetu. 1
Proverbs 14:4Pale ambapo hakuna mafahali, hori ni tupu, 2 bali kutokana na nguvu za fahali huja mavuno mengi. 1
Isaiah 30:16Mlisema, ‘Hapana, tutakimbia kwa farasi.’ 2 Kwa hiyo mtakimbia! 1 Mlisema, ‘Tutakimbia kwa farasi waendao kasi.’ 2 Kwa hiyo wanaowafukuza watakwenda kasi! 1