Proverbs 14:4
Pale ambapo hakuna mafahali, hori ni tupu, 2 bali kutokana na nguvu za fahali huja mavuno mengi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Where no oxen are, the crib is clean: but much increase is by the strength of the ox.
In Context
5Shahidi mwaminifu hadanganyi, 2 bali shahidi wa uongo humimina uongo. 1
Cross References
Proverbs 13:23Shamba la mtu maskini laweza kuzalisha chakula kingi, 2 bali dhuluma hukifutilia mbali. 1
1 Corinthians 9:9Kwa maana imeandikwa katika Sheria ya Mose: “Usimfunge maksai kinywa apurapo nafaka.” Je, Mungu hapa anahusika na ngʼombe?