Job 39:13
“Mbuni hupigapiga mabawa yake kwa furaha, 2 lakini hayawezi kulinganishwa 2 na mabawa na manyoya ya korongo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Gavest thou the goodly wings unto the peacocks? or wings and feathers unto the ostrich?
In Context
14Huyataga mayai yake juu ya ardhi, 2 na kuyaacha yapate joto mchangani, 1
Cross References
1 Kings 10:22Mfalme alikuwa na meli nyingi za biashara + 10:22 Au: za Tarshishi (ona pia 1Fal 22:48; 2Nya 9:21; 20:36; Isa 2:16; 60:9 ). baharini zilizokuwa zikiandamana na meli za Hiramu. Kwa mara moja kila miaka mitatu zilirudi, zikiwa zimebeba dhahabu, fedha, pembe za ndovu na nyani wakubwa na wadogo.
Job 30:29Nimekuwa ndugu wa mbweha, 2 rafiki wa mabundi. 1
Jeremiah 8:7Hata korongo aliyeko angani 2 anayajua majira yake yaliyoamriwa, 1 nao njiwa, mbayuwayu na koikoi 2 hufuata majira yao ya kurudi. 1 Lakini watu wangu hawajui 2 Bwana anachotaka kwao. 1