Job 39:14
Huyataga mayai yake juu ya ardhi, 2 na kuyaacha yapate joto mchangani, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Which leaveth her eggs in the earth, and warmeth them in dust,
In Context
15bila kujali kuwa mguu waweza kuyaponda, 2 kwamba baadhi ya wanyama wa porini wanaweza kuyakanyaga. 1
Cross References
Proverbs 27:8Kama ndege atangatangavyo mbali na kiota chake, 2 ndivyo alivyo mtu atangatangaye 2 mbali na nyumbani mwake. 1