The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 8 › Yeremia 8:7

Yeremia 8:7

Hata korongo aliyeko angani 2 anayajua majira yake yaliyoamriwa, 1 nao njiwa, mbayuwayu na koikoi 2 hufuata majira yao ya kurudi. 1 Lakini watu wangu hawajui 2 Bwana anachotaka kwao. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Yea, the stork in the heaven knoweth her appointed times; and the turtle and the crane and the swallow observe the time of their coming; but my people know not the judgment of the LORD.

In Context

6Nimewasikiliza kwa makini, 2 lakini hawataki kusema lililo sawa. 1 Hakuna anayetubia makosa yake 2 akisema, “Nimefanya nini?” 1 Kila mmoja hufuata njia yake mwenyewe 2 kama farasi anayekwenda vitani. 1

8“ ‘Mwawezaje kusema, “Sisi tuna busara 2 kwa sababu tunayo sheria ya Bwana,” 1 wakati ambapo kwa hakika kalamu ya uongo ya waandishi 2 imeandika kwa udanganyifu? 1

Read all of Yeremia 8

Cross References

Proverbs 6:6Ewe mvivu, mwendee mchwa; 2 zitafakari njia zake ukapate hekima! 1

Isaiah 1:3Ngʼombe anamjua bwana wake, 2 naye punda anajua hori la mmiliki wake, 1 lakini Israeli hajui, 2 watu wangu hawaelewi.” 1

Jeremiah 4:22“Watu wangu ni wapumbavu, 2 hawanijui mimi. 1 Ni watoto wasio na akili, 2 hawana ufahamu. 1 Ni hodari kutenda mabaya, 2 hawajui kutenda yaliyo mema.” 1

Jeremiah 5:5Kwa hiyo nitakwenda kwa viongozi 2 na kuzungumza nao, 1 hakika wao wanaijua njia ya Bwana, 2 sheria ya Mungu wao.” 1 Lakini kwa nia moja nao pia walikuwa wameivunja nira 2 na kuvivunja vifungo. 1

Habakkuk 1:4Kwa hiyo sheria imepotoshwa, 2 nayo haki haipo kabisa. 1 Waovu wanawazunguka wenye haki, 2 kwa hiyo haki imepotoshwa. 1 Jibu La Bwana 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 8:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 8:6Yeremia 8Yeremia 8:8 →