Ayubu 39:15
bila kujali kuwa mguu waweza kuyaponda, 2 kwamba baadhi ya wanyama wa porini wanaweza kuyakanyaga. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And forgetteth that the foot may crush them, or that the wild beast may break them.
In Context
14Huyataga mayai yake juu ya ardhi, 2 na kuyaacha yapate joto mchangani, 1