Job 39:16
Yeye huyafanyia makinda yake ukatili kama vile si yake; 2 hajali kwamba taabu yake inaweza ikawa bure, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15bila kujali kuwa mguu waweza kuyaponda, 2 kwamba baadhi ya wanyama wa porini wanaweza kuyakanyaga. 1
17kwa kuwa Mungu hakumjalia hekima, 2 wala hakumpa fungu la akili njema. 1
Cross References
1 Kings 3:26Mwanamke ambaye mwanawe alikuwa hai akajawa na huruma kwa ajili ya mwanawe na kumwambia mfalme, “Tafadhali, bwana wangu, mpe yeye mtoto aliye hai! Usimuue!” Lakini yule mwanamke mwingine akasema, “Mkate vipande viwili. Asiwe wangu au wake!”
Ecclesiastes 10:15Kazi ya mpumbavu humchosha mwenyewe, 2 hajui njia iendayo mjini. 1
Lamentations 4:3Hata mbweha hutoa matiti yao 2 kunyonyesha watoto wao, 1 lakini watu wangu wamekuwa wasio na huruma 2 kama mbuni jangwani. 1
Romans 1:31wajinga, wasioamini, wasio na huruma na wakatili.