Job 39:19
“Je, wewe humpa farasi nguvu 2 au kuivika shingo yake manyoya marefu? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hath thou given the horse strength? hast thou clothed his neck with thunder?
In Context
18Lakini akunjuapo mabawa yake kukimbia, 2 humcheka farasi pamoja na yeye aliyempanda. 1
20Je, wewe humfanya farasi aruke kama nzige, 2 akistaajabisha kwa tishio la mlio wake wa majivuno? 1
Cross References
Job 39:25Asikiapo sauti ya baragumu yeye hulia, ‘Aha!’ 2 Hunusa harufu ya vita toka mbali, 2 sauti ya mtoa amri na ukelele wa vita. 1
Psalms 33:17Farasi ni tumaini la bure kwa wokovu, 2 licha ya nguvu zake nyingi, hawezi kuokoa. 1
Psalms 104:1Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana. 1 Ee Bwana Mungu wangu, wewe ni mkuu sana, 2 umejivika utukufu na enzi. 1
Mark 3:17Yakobo mwana wa Zebedayo, na Yohana nduguye (ambao aliwaita Boanerge, maana yake Wana wa Ngurumo);