Job 39:18
Lakini akunjuapo mabawa yake kukimbia, 2 humcheka farasi pamoja na yeye aliyempanda. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
What time she lifteth up herself on high, she scorneth the horse and his rider.
In Context
17kwa kuwa Mungu hakumjalia hekima, 2 wala hakumpa fungu la akili njema. 1
19“Je, wewe humpa farasi nguvu 2 au kuivika shingo yake manyoya marefu? 1
Cross References
2 Kings 19:21Hili ndilo neno ambalo Bwana amelisema dhidi yake: 1 “ ‘Bikira Binti Sayuni anakudharau na kukudhihaki. 2 Binti Yerusalemu anatikisa kichwa chake unapokimbia. 1
Job 39:7Huzicheka ghasia za mji, 2 wala hasikii kelele za mwendesha gari. 1
Job 41:29Rungu kwake huwa kama kipande cha jani kavu; 2 hucheka sauti za kugongana kwa mkuki. 1