Job 39:25
Asikiapo sauti ya baragumu yeye hulia, ‘Aha!’ 2 Hunusa harufu ya vita toka mbali, 2 sauti ya mtoa amri na ukelele wa vita. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24Bila woga na kwa ghadhabu huimeza nchi, 2 wala tarumbeta iliapo yeye hawezi kusimama. 1
26“Je, mwewe huruka kwa hekima yako 2 na kuyakunjua mabawa yake kuelekea kusini? 1
Cross References
Ezekiel 26:2“Mwanadamu, kwa sababu Tiro amesema kuhusu Yerusalemu, ‘Aha! Lango la kwenda kwa mataifa limevunjika, nayo milango yake iko wazi mbele yangu, sasa kwa kuwa amekuwa magofu nitastawi.’
Zechariah 10:3“Hasira yangu inawaka dhidi ya wachungaji, 2 nami nitawaadhibu viongozi; 1 kwa kuwa Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 atalichunga kundi lake, 2 nyumba ya Yuda, 1 naye atawafanya kuwa kama farasi 2 mwenye kiburi akiwa vitani. 1