Job 39:21
Huparapara bila woga, akizifurahia nguvu zake, 2 husonga mbele kukabiliana na silaha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He paweth in the valley, and rejoiceth in his strength: he goeth on to meet the armed men.
In Context
20Je, wewe humfanya farasi aruke kama nzige, 2 akistaajabisha kwa tishio la mlio wake wa majivuno? 1
22Huicheka hofu, haogopi chochote, 2 wala haukimbii upanga. 1
Cross References
Judges 5:22Ndipo kwato za farasi zikafanya mshindo: 2 farasi wake wenye nguvu 2 huenda mbio kwa kurukaruka. 1
1 Samuel 17:42Mfilisti akamwangalia Daudi kote na kumwona kuwa ni kijana tu, mwekundu na mzuri wa kupendeza, naye akamdharau.
Proverbs 21:31Farasi huandaliwa kwa ajili ya siku ya vita, 2 bali ushindi huwa kwa Bwana.
Jeremiah 9:23Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Mwenye hekima asijisifu katika hekima yake, 2 au mwenye nguvu ajisifu katika nguvu zake, 2 wala tajiri ajisifu katika utajiri wake, 1