Job 39:22
Huicheka hofu, haogopi chochote, 2 wala haukimbii upanga. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He mocketh at fear, and is not affrighted; neither turneth he back from the sword.
In Context
21Huparapara bila woga, akizifurahia nguvu zake, 2 husonga mbele kukabiliana na silaha. 1
23Podo hutoa sauti kando yake, 2 pamoja na mkuki unaongʼaa na fumo. 1
Cross References
Job 39:18Lakini akunjuapo mabawa yake kukimbia, 2 humcheka farasi pamoja na yeye aliyempanda. 1