Job 39:23
Podo hutoa sauti kando yake, 2 pamoja na mkuki unaongʼaa na fumo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The quiver rattleth against him, the glittering spear and the shield.
In Context
22Huicheka hofu, haogopi chochote, 2 wala haukimbii upanga. 1
24Bila woga na kwa ghadhabu huimeza nchi, 2 wala tarumbeta iliapo yeye hawezi kusimama. 1
Cross References
Job 41:26Upanga unaomfikia haumdhuru, 2 wala mkuki au mshale wala fumo. 1