The Bible Software
bible.software › Zekaria › Zekaria 10 › Zekaria 10:3

Zekaria 10:3

“Hasira yangu inawaka dhidi ya wachungaji, 2 nami nitawaadhibu viongozi; 1 kwa kuwa Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 atalichunga kundi lake, 2 nyumba ya Yuda, 1 naye atawafanya kuwa kama farasi 2 mwenye kiburi akiwa vitani. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Mine anger was kindled against the shepherds, and I punished the goats: for the LORD of hosts hath visited his flock the house of Judah, and hath made them as his goodly horse in the battle.

In Context

2Sanamu huzungumza udanganyifu, 2 waaguzi huona maono ya uongo; 1 husimulia ndoto ambazo si za kweli, 2 wanatoa faraja batili. 1 Kwa hiyo watu wanatangatanga kama kondoo 2 walioonewa kwa kukosa mchungaji. 1

4Kutoka Yuda litatokea Jiwe la pembeni, 2 kutoka kwake vitatoka vigingi vya hema, 2 kutoka kwake utatoka upinde wa vita, 2 kutoka kwake atatoka kila mtawala. 1

Read all of Zekaria 10

Cross References

Exodus 4:31nao wakaamini. Nao waliposikia kuwa Bwana anajishughulisha nao, na kwamba ameona mateso yao, walisujudu na kuabudu.

Job 39:25Asikiapo sauti ya baragumu yeye hulia, ‘Aha!’ 2 Hunusa harufu ya vita toka mbali, 2 sauti ya mtoa amri na ukelele wa vita. 1

Song of Solomon 1:9Mpenzi wangu, ninakufananisha na farasi jike 2 aliyefungwa katika mojawapo ya magari ya vita ya Farao. 1

Isaiah 24:21Katika siku ile Bwana ataadhibu 2 nguvu zilizoko mbinguni juu, 2 na wafalme walioko duniani chini. 1

Jeremiah 10:21Wachungaji hawana akili 2 wala hawamuulizi Bwana, 1 hivyo hawastawi 2 na kundi lao lote la kondoo limetawanyika. 1

Jeremiah 23:1“Ole wao wachungaji wanaoharibu na kutawanya kondoo wa malisho yangu!” asema Bwana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 10:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zekaria 10:2Zekaria 10Zekaria 10:4 →