Job 39:26
“Je, mwewe huruka kwa hekima yako 2 na kuyakunjua mabawa yake kuelekea kusini? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Doth the hawk fly by thy wisdom, and stretch her wings toward the south?
In Context
27Je, tai hupaa juu kwa amri yako 2 na kujenga kiota chake mahali pa juu? 1
Cross References
Deuteronomy 14:15mbuni, kiruka-njia, dudumizi, kipanga wa aina yoyote,
Jeremiah 8:7Hata korongo aliyeko angani 2 anayajua majira yake yaliyoamriwa, 1 nao njiwa, mbayuwayu na koikoi 2 hufuata majira yao ya kurudi. 1 Lakini watu wangu hawajui 2 Bwana anachotaka kwao. 1