Job 39:28
Huishi juu ya miamba mirefu na kukaa huko usiku; 2 majabali yenye ncha kali ndiyo ngome yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
She dwelleth and abideth on the rock, upon the crag of the rock, and the strong place.
In Context
27Je, tai hupaa juu kwa amri yako 2 na kujenga kiota chake mahali pa juu? 1
29Kutoka huko hutafuta chakula chake; 2 macho yake hukiona kutoka mbali. 1
Cross References
1 Samuel 14:4Kila upande wa njia ambayo Yonathani alikusudia kupita ili kuvuka kufikia doria ya Wafilisti kulikuwepo na jabali; moja lilikuwa linaitwa Bosesi, na jingine Sene.