Job 39:29
Kutoka huko hutafuta chakula chake; 2 macho yake hukiona kutoka mbali. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
From thence she seeketh the prey, and her eyes behold afar off.
In Context
28Huishi juu ya miamba mirefu na kukaa huko usiku; 2 majabali yenye ncha kali ndiyo ngome yake. 1
30Makinda yake hujilisha damu, 2 na pale palipo na machinjo, ndipo yeye alipo.”