Job 39:27
Je, tai hupaa juu kwa amri yako 2 na kujenga kiota chake mahali pa juu? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Doth the eagle mount up at thy command, and make her nest on high?
In Context
26“Je, mwewe huruka kwa hekima yako 2 na kuyakunjua mabawa yake kuelekea kusini? 1
28Huishi juu ya miamba mirefu na kukaa huko usiku; 2 majabali yenye ncha kali ndiyo ngome yake. 1
Cross References
Leviticus 11:13“ ‘Wafuatao ndio ndege watakaokuwa machukizo kwenu, hivyo msiwale kwa sababu ni chukizo: tai, furukombe, kipungu,
Proverbs 23:5Kufumba na kufumbua utajiri hutoweka, 2 huwa kama umepata mabawa ghafula, 2 ukaruka na kutoweka angani kama tai. 1
Isaiah 40:31bali wale wamtumainio Bwana 2 atafanya upya nguvu zao. 1 Watapaa juu kwa mbawa kama tai; 2 watapiga mbio wala hawatachoka, 2 watatembea kwa miguu wala hawatazimia.
Hosea 8:1“Wekeni tarumbeta midomoni mwenu! 2 Tai yuko juu ya nyumba ya Bwana 1 kwa sababu watu wamevunja Agano langu, 2 wameasi dhidi ya sheria yangu. 1