Job 39:30
Makinda yake hujilisha damu, 2 na pale palipo na machinjo, ndipo yeye alipo.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Her young ones also suck up blood: and where the slain are, there is she.
In Context
29Kutoka huko hutafuta chakula chake; 2 macho yake hukiona kutoka mbali. 1
Cross References
Ezekiel 39:17“Mwanadamu, hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Ita kila aina ya ndege na wanyama wote wa mwituni, waambie: ‘Kusanyikeni mje pamoja kutoka pande zote kwa ajili ya dhabihu ninayowaandalia, dhabihu kuu katika milima ya Israeli. Huko mtakula nyama na kunywa damu.
Luke 17:37Kisha wakamuuliza, “Haya yatatukia wapi Bwana?” Akawaambia, “Pale ulipo mzoga, huko ndiko tai watakapokusanyika.”