The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 4 › Ayubu 4:10

Ayubu 4:10

Simba anaweza kunguruma na kukoroma, 2 lakini bado meno ya simba mkubwa huvunjika. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The roaring of the lion, and the voice of the fierce lion, and the teeth of the young lions, are broken.

In Context

9Kwa pumzi ya Mungu huangamizwa; 2 kwa mshindo wa hasira zake huangamia. 1

11Simba anaweza kuangamia kwa kukosa mawindo, 2 nao wana wa simba jike hutawanyika. 1

Read all of Ayubu 4

Cross References

Job 29:17Niliyavunja meno makali ya waovu, 2 na kuwapokonya wahanga kwenye meno yao. 1

Psalms 57:4Niko katikati ya simba, 2 nimelala katikati ya wanyama wenye njaa kuu: 2 watu ambao meno yao ni mikuki na mishale, 2 ambao ndimi zao ni panga kali. 1

Psalms 58:7Na watoweke kama maji yapitayo kwa kasi, 2 wavutapo pinde zao, mishale yao na iwe butu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 4:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 4:9Ayubu 4Ayubu 4:11 →