Job 4:21
Je, kamba za hema yao hazikungʼolewa, 2 hivyo hufa bila hekima?’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Doth not their excellency which is in them go away? they die, even without wisdom.
In Context
20Kati ya mawio na machweo 2 huvunjwa vipande vipande; 1 bila yeyote kutambua, 2 huangamia milele. 1
Cross References
Job 18:21Hakika ndivyo yalivyo makao ya mtu mwovu; 2 ndivyo palivyo mahali pake mtu asiyemjua Mungu.”
Job 36:12Lakini wasiposikiliza, 2 wataangamia kwa upanga, 2 nao watakufa pasipo maarifa. 1
Psalms 39:11Unakemea na kuadhibu wanadamu 2 kwa ajili ya dhambi zao; 1 unaharibu utajiri wao kama nondo aharibuvyo: 2 kila mwanadamu ni kama pumzi tu. 1
Psalms 49:20Mwanadamu mwenye utajiri bila ufahamu 2 ni kama wanyama waangamiao.
Isaiah 2:22Acheni kumtumainia mwanadamu, 2 ambaye hana kitu ila pumzi katika pua zake. 1 Yeye ana thamani gani?
Luke 12:20“Lakini Mungu akamwambia, ‘Mpumbavu wewe! Usiku huu uhai wako unatakiwa. Sasa hivyo vitu ulivyojiwekea akiba vitakuwa vya nani?’