The Bible Software
bible.softwareJobJob 4 › Job 4:6

Job 4:6

Je, kumcha Mungu kwako hakupaswi kuwa 2 ndiyo matumaini yako 1 na njia zako kutokuwa na lawama 2 ndilo taraja lako? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Is not this thy fear, thy confidence, thy hope, and the uprightness of thy ways?

In Context

5Lakini sasa hii taabu imekujia wewe, 2 nawe unashuka moyo; 1 imekupiga wewe, 2 nawe unafadhaika. 1

7“Fikiri sasa: Ni mtu yupi asiye na hatia ambaye aliwahi kuangamia? 2 Ni wapi wanyofu waliwahi kuangamizwa? 1

Read all of Job 4

Cross References

Job 1:1Katika nchi ya Usi paliishi mtu ambaye aliitwa Ayubu. Mtu huyu alikuwa hana hatia, naye alikuwa mkamilifu; alimcha Mungu na kuepukana na uovu.

Job 13:15Ingawa ataniua, bado nitamtumaini; 2 hakika nitazitetea njia zangu mbele zake. 1

Job 17:15liko wapi basi tarajio langu? 2 Ni nani awezaye kuona tarajio lolote kwa ajili yangu? 1

Job 27:5Sitakubaliana nanyi kabisa kuwa mko sahihi; 2 hadi nife, sitakana uadilifu wangu. 1

Job 31:1“Nimefanya agano na macho yangu 2 yasimtazame msichana kwa kumtamani. 1

Proverbs 3:26kwa kuwa Bwana atakuwa tumaini lako 2 na kuepusha mguu wako kunaswa katika mtego. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 4:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 4:5Job 4Job 4:7 →