Ayubu 4:8
Kwa jinsi ambavyo mimi nimechunguza, 2 wale walimao ubaya 1 na wale hupanda uovu, 2 huvuna hayo hayo hayo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Even as I have seen, they that plow iniquity, and sow wickedness, reap the same.
In Context
9Kwa pumzi ya Mungu huangamizwa; 2 kwa mshindo wa hasira zake huangamia. 1
Cross References
Psalms 7:14Yeye aliye na mimba ya uovu 2 na achukuaye mimba ya ghasia huzaa uongo. 1
Psalms 7:16Ghasia azianzishazo humrudia mwenyewe, 2 ukatili wake humrudia kichwani. 1
Jeremiah 4:18“Mwenendo wako na matendo yako mwenyewe 2 yameleta haya juu yako. 1 Hii ndiyo adhabu yako. 2 Tazama jinsi ilivyo chungu! 2 Tazama jinsi inavyochoma moyo!” 1
Hosea 10:12Jipandieni wenyewe haki, 2 vuneni matunda ya upendo usio na kikomo, 1 vunjeni ardhi yenu isiyolimwa; 2 kwa kuwa ni wakati wa kumtafuta Bwana, 1 mpaka atakapokuja 2 na kuwanyeshea juu yenu haki. 1
2 Corinthians 9:6Kumbukeni kwamba: Yeyote apandaye kwa uchache pia atavuna kwa uchache, naye apandaye kwa ukarimu pia atavuna kwa ukarimu.