Yeremia 4:18
“Mwenendo wako na matendo yako mwenyewe 2 yameleta haya juu yako. 1 Hii ndiyo adhabu yako. 2 Tazama jinsi ilivyo chungu! 2 Tazama jinsi inavyochoma moyo!” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Wamemzunguka kama watu walindao shamba, 2 kwa sababu amefanya uasi dhidi yangu,’ ” 4 asema Bwana. 1
Cross References
Psalms 107:17Wengine wakawa wapumbavu kutokana na uasi wao, 2 wakapata mateso kwa sababu ya uovu wao. 1
Proverbs 5:22Matendo mabaya ya mtu mwovu humnasa yeye mwenyewe; 2 kamba za dhambi yake humkamata kwa nguvu. 1
Jeremiah 2:17Je, hukujiletea hili wewe mwenyewe 2 kwa kumwacha Bwana, Mungu wako 2 alipowaongoza njiani? 1
Jeremiah 5:19“Nao watu watakapouliza, ‘Kwa nini Bwana, Mungu wetu ametufanyia mambo haya yote?’ utawaambia, ‘Kama vile mlivyoniacha mimi na kutumikia miungu migeni katika nchi yenu wenyewe, ndivyo sasa mtakavyowatumikia wageni katika nchi ambayo si yenu.’ 1
Jeremiah 14:16Nao watu hao wanaowatabiria watatupwa nje katika barabara za Yerusalemu kwa sababu ya njaa na upanga. Hapatakuwepo yeyote wa kuwazika wao au wake zao, wana wao au binti zao. Nitawamwagia maafa wanayostahili.
Lamentations 3:15Amenijaza kwa majani machungu 2 na kunishibisha kwa nyongo. 1