Ayubu 40:14
Ndipo mimi mwenyewe nitakukubalia 2 kuwa mkono wako mwenyewe wa kuume unaweza kukuokoa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then will I also confess unto thee that thine own right hand can save thee.
In Context
13Wazike wote mavumbini pamoja; 2 wafunge nyuso zao kaburini. 1
Cross References
Psalms 44:6Siutumaini upinde wangu, 2 upanga wangu hauniletei ushindi; 1
Romans 5:6Kwa maana hata tulipokuwa dhaifu, wakati ulipowadia, Kristo alikufa kwa ajili yetu sisi wenye dhambi.