The Bible Software
bible.softwareJobJob 40 › Job 40:13

Job 40:13

Wazike wote mavumbini pamoja; 2 wafunge nyuso zao kaburini. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Hide them in the dust together; and bind their faces in secret.

In Context

12mwangalie kila mtu mwenye kiburi na umnyenyekeze, 2 waponde waovu mahali wasimamapo. 1

14Ndipo mimi mwenyewe nitakukubalia 2 kuwa mkono wako mwenyewe wa kuume unaweza kukuokoa. 1

Read all of Job 40

Cross References

1 Samuel 2:9Yeye atailinda miguu ya watakatifu wake, 2 lakini waovu watanyamazishwa kwenye giza. 1 “Si kwa nguvu mtu hushinda; 2

Job 14:13“Laiti kama ungenificha kaburini, + 14:13 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 2 na kunisitiri hadi hasira yako ipite! 1 Laiti ungeniwekea wakati, 2 na kisha ukanikumbuka! 1

Psalms 49:14Kama kondoo, wamewekewa kwenda kaburini, + 49:14 Kaburini hapa ina maana ya Sheol kwa Kiebrania, yaani Kuzimu. 2 nacho kifo kitawala. 1 Wanyofu watawatawala asubuhi, 2 maumbile yao yataozea kaburini, 2 mbali na majumba yao makubwa ya fahari. 1

John 11:44Yule aliyekuwa amekufa akatoka nje, mikono yake na miguu yake ikiwa imeviringishiwa vitambaa vya kitani na leso usoni pake. Yesu akawaambia, “Mfungueni, mwacheni aende zake.” 1 Shauri La Kumuua Yesu (Mathayo 26:1-5; Marko 14:1-2; Luka 22:1-2)

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 40:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 40:12Job 40Job 40:14 →