Ayubu 40:15
“Mwangalie mnyama aitwaye Behemothi, + 40:15 Huyu alikuwa mnyama wa nyakati za zamani ambaye hajulikani hasa ni gani. 2 niliyemuumba kama nilivyokuumba wewe, 2 anayekula majani kama ngʼombe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Behold now behemoth, which I made with thee; he eateth grass as an ox.
In Context
14Ndipo mimi mwenyewe nitakukubalia 2 kuwa mkono wako mwenyewe wa kuume unaweza kukuokoa. 1
16Tazama basi nguvu alizo nazo kwenye viuno vyake, 2 uwezo alio nao kwenye misuli ya tumbo lake! 1
Cross References
Genesis 1:24Mungu akasema, “Ardhi na itoe viumbe hai kulingana na aina zake: wanyama wa kufugwa, viumbe vitambaavyo ardhini na wanyama pori, kila mnyama kulingana na aina yake.” Ikawa hivyo.
Job 40:20Vilima humletea yeye mazao yake, 2 nao wanyama wote wa porini hucheza karibu naye. 1