Ayubu 40:16
Tazama basi nguvu alizo nazo kwenye viuno vyake, 2 uwezo alio nao kwenye misuli ya tumbo lake! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Lo now, his strength is in his loins, and his force is in the navel of his belly.
In Context
17Mkia wake hutikisika kama mwerezi; 2 mishipa ya mapaja yake imesukwa pamoja. 1
Cross References
Job 41:22Nguvu hukaa katika shingo yake; 2 utisho hutangulia mbele yake. 1