Ayubu 40:17
Mkia wake hutikisika kama mwerezi; 2 mishipa ya mapaja yake imesukwa pamoja. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He moveth his tail like a cedar: the sinews of his stones are wrapped together.
In Context
16Tazama basi nguvu alizo nazo kwenye viuno vyake, 2 uwezo alio nao kwenye misuli ya tumbo lake! 1
18Mifupa yake ni bomba za shaba, 2 maungo yake ni kama fito za chuma. 1
Cross References
Job 41:23Mikunjo ya nyama yake imeshikamana imara pamoja; 2 iko imara na haiwezi kuondolewa. 1