Ayubu 41:23
Mikunjo ya nyama yake imeshikamana imara pamoja; 2 iko imara na haiwezi kuondolewa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The flakes of his flesh are joined together: they are firm in themselves; they cannot be moved.
In Context
22Nguvu hukaa katika shingo yake; 2 utisho hutangulia mbele yake. 1
24Kifua chake ni kigumu kama mwamba, 2 kigumu kama jiwe la chini la kusagia. 1
Cross References
Job 40:17Mkia wake hutikisika kama mwerezi; 2 mishipa ya mapaja yake imesukwa pamoja. 1
Revelation 9:9Walikuwa na dirii kama za chuma, na sauti za mabawa yao zilikuwa kama ngurumo za farasi wengi na magari mengi yakikimbilia vitani.