Ayubu 40:7
“Jikaze kama mwanaume; 2 nitakuuliza maswali, nawe yakupasa unijibu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Gird up thy loins now like a man: I will demand of thee, and declare thou unto me.
In Context
6Ndipo Bwana akasema na Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli: 1
8“Je, utabatilisha hukumu yangu? 2 Utanilaumu mimi ili kujihesabia haki mwenyewe? 1
Cross References
Job 23:3Laiti ningefahamu mahali pa kumwona; 2 laiti ningeweza kwenda mahali akaapo! 1
Job 42:4“Ulisema, ‘Sikiliza sasa, nami nitanena; 2 nitakuuliza swali, nawe yakupasa kunijibu.’ 1