Ayubu 40:8
“Je, utabatilisha hukumu yangu? 2 Utanilaumu mimi ili kujihesabia haki mwenyewe? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wilt thou also disannul my judgment? wilt thou condemn me, that thou mayest be righteous?
In Context
7“Jikaze kama mwanaume; 2 nitakuuliza maswali, nawe yakupasa unijibu. 1
9Je, una mkono kama wa Mungu, 2 nawe waweza kutoa sauti ya ngurumo kama yake? 1
Cross References
Job 27:2“Hakika kama Mungu aishivyo, aliyeninyima haki yangu, 2 Mwenyezi ambaye amenifanya 2 nionje uchungu wa nafsi, 1
Job 32:2Lakini Elihu mwana wa Barakeli, wa kabila la Buzi wa jamaa ya Ramu, akamkasirikia sana Ayubu, kwa sababu ya kujihesabia haki mwenyewe badala ya Mungu.
Job 34:17Je, yeye aichukiaye haki aweza kutawala? 2 Je, utamhukumu mwenye haki, Aliye na Nguvu Zote? 1
Psalms 51:4Dhidi yako, wewe peke yako, nimetenda dhambi 2 na kufanya yaliyo mabaya machoni pako, 1 ili uthibitike kuwa wa kweli unenapo, 2 na kuwa na haki utoapo hukumu. 1
Isaiah 28:18Agano lenu na kifo litabatilishwa, 2 patano lenu na kuzimu halitasimama. 1 Wakati pigo lifurikalo litakapowakumba, 2 litawaangusha chini. 1
Romans 3:4La hasha! Mungu na aonekane mwenye haki, na kila mwanadamu kuwa mwongo, kama ilivyoandikwa: 1 “Ili uthibitike kuwa wa kweli unaponena, 2 na ukashinde utoapo hukumu.”