Ayubu 42:4
“Ulisema, ‘Sikiliza sasa, nami nitanena; 2 nitakuuliza swali, nawe yakupasa kunijibu.’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hear, I beseech thee, and I will speak: I will demand of thee, and declare thou unto me.
In Context
5Masikio yangu yalikuwa yamesikia habari zako, 2 lakini sasa macho yangu yamekuona. 1
Cross References
Genesis 18:30Ndipo akasema, “Bwana na asikasirike, lakini niruhusu nizungumze. Je, kama huko watakuwepo thelathini tu?” Akajibu, “Sitapaangamiza ikiwa nitawakuta huko watu thelathini.”
Job 40:7“Jikaze kama mwanaume; 2 nitakuuliza maswali, nawe yakupasa unijibu. 1