Ayubu 41:14
Nani athubutuye kuufungua mlango wa kinywa chake, 2 kilichozungukwa na meno yake ya kutisha pande zote? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Who can open the doors of his face? his teeth are terrible round about.
In Context
13Ni nani awezaye kumvua gamba lake la nje? 2 Ni nani awezaye kumsogelea na lijamu? 1
15Mgongo wake una safu za ngao 2 zilizoshikamanishwa imara pamoja; 1
Cross References
Job 38:10nilipoamuru mipaka yake, 2 na kuiweka milango yake na makomeo mahali pake, 1
Psalms 58:6Ee Mungu, yavunje meno katika vinywa vyao; 2 Ee Bwana, vunja meno makali ya hao simba! 1
Ecclesiastes 12:4wakati milango ya kuingia barabarani itakapofungwa 2 na sauti ya kusaga kufifia; 1 wakati watu wataamshwa kwa sauti ya ndege, 2 lakini nyimbo zao zote zikififia; 1