bible.software › Mhubiri › Mhubiri 12 › Mhubiri 12:4
Mhubiri 12:4
wakati milango ya kuingia barabarani itakapofungwa 2 na sauti ya kusaga kufifia; 1 wakati watu wataamshwa kwa sauti ya ndege, 2 lakini nyimbo zao zote zikififia; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the doors shall be shut in the streets, when the sound of the grinding is low, and he shall rise up at the voice of the bird, and all the daughters of musick shall be brought low;
In Context
3siku ile walinzi wa nyumba watakapotetemeka, 2 nao watu wenye nguvu watakapojiinamisha, 1 wakati wasagao watakapokoma kwa sababu ya uchache, 2 nao wachunguliao madirishani kutiwa giza; 1
5wakati watu watakapoogopa kilichoinuka juu 2 na hatari zitakazokuwepo barabarani; 1 wakati mlozi utakapochanua maua 2 na panzi kujikokota 2 nawe usiwe na shauku ya kitu chochote. 1 Ndipo mwanadamu aiendea nyumba yake ya milele 2 nao waombolezaji wakizunguka barabarani. 1
Read all of Mhubiri 12
Cross References
Job 41:14Nani athubutuye kuufungua mlango wa kinywa chake, 2 kilichozungukwa na meno yake ya kutisha pande zote? 1
Revelation 18:22Nyimbo za wapiga vinubi na waimbaji, 2 wapiga filimbi na wapiga tarumbeta 2 kamwe hazitasikika tena ndani yako. 1 Ndani yako kamwe hataonekana tena fundi 2 mwenye ujuzi wa aina yoyote. 1 Wala sauti ya jiwe la kusagia 2 kamwe haitasikika tena. 1
This Verse In Other Editions
Study Mhubiri 12:4