Ayubu 41:24
Kifua chake ni kigumu kama mwamba, 2 kigumu kama jiwe la chini la kusagia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
His heart is as firm as a stone; yea, as hard as a piece of the nether millstone.
In Context
23Mikunjo ya nyama yake imeshikamana imara pamoja; 2 iko imara na haiwezi kuondolewa. 1
25Ainukapo, mashujaa wanaogopa; 2 hurudi nyuma mbele yake anapokwenda kwa kishindo. 1
Cross References
Jeremiah 5:3Ee Bwana, je, macho yako hayaitafuti kweli? 2 Uliwapiga, lakini hawakusikia maumivu, 2 uliwapondaponda, lakini walikataa maonyo. 1 Walifanya nyuso zao kuwa ngumu kuliko jiwe 2 nao walikataa kutubu. 1