Ayubu 41:34
Yeye huwatazama chini wale wote wenye kujivuna; 2 yeye ni mfalme juu ya wote wenye kiburi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He beholdeth all high things: he is a king over all the children of pride.
In Context
33Hakuna chochote duniani kinacholingana naye: 2 yeye ni kiumbe kisicho na woga. 1
Cross References
Job 26:12Kwa nguvu zake aliisukasuka bahari; 2 kwa hekima yake alimkata Rahabu + 26:12 Rahabu hapa ni fumbo la kumaanisha Lewiathani, mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa. vipande vipande. 1
Psalms 73:6Kwa hiyo kiburi ni mkufu wao, 2 wamejivika jeuri. 1
Isaiah 28:1Ole kwa lile taji la maua, kiburi cha walevi wa Efraimu, 2 kwa ua linalosinyaa, uzuri wa utukufu wake, 1 uliowekwa kwenye kichwa cha bonde lenye rutuba: 2 kwa ule mji, kiburi cha wale walioshushwa na mvinyo! 1
Revelation 12:1Kukaonekana ishara kuu mbinguni: Palikuwa na mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi ukiwa chini ya miguu yake, na taji ya nyota kumi na mbili ilikuwa kichwani mwake.
Revelation 20:2Akalishika lile joka, yule nyoka wa zamani, ambaye ndiye ibilisi au Shetani, naye akamfunga kwa muda wa miaka 1,000.